Skip to content
النَّحل /

Aya 104

16 : 104

Aya 104 of النَّحل (16 : 104). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 104

إِنَّ ٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِ لَا يَهۡدِيهِمُ ٱللَّهُ وَلَهُمۡ عَذَابٌ أَلِيمٌ

Hakika wasio ziamini Ishara za Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu hawaongoi, nao watapata adhabu chungu.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika hao wasio zikubali Ishara za Mwenyezi Mungu ambazo wameshindwa kuleta mfano wake, na wakashikilia kuzikataa juu ya kuemewa kwao, Mwenyezi Mungu hawaongoi. Nao Akhera watapata adhabu kali kwa sababu ya ukafiri wao na inadi yao!