Skip to content
النَّحل /

Aya 9

16 : 9

Aya 9 of النَّحل (16 : 9). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 9

وَعَلَى ٱللَّهِ قَصۡدُ ٱلسَّبِيلِ وَمِنۡهَا جَآئِرٞۚ وَلَوۡ شَآءَ لَهَدَىٰكُمۡ أَجۡمَعِينَ

Na ni juu ya Mwenyezi Mungu kuelekeza Njia. Na zipo njia za upotovu.Na angeli penda angeli kuongoeni nyote.

Explanation & meanings · 1
  1. Na juu ya Mwenyezi Mungu, kwa mujibu wa fadhila yake na rehema yake, kukuonesheni Njia Iliyo Nyooka ya kukufikisheni kwenye kheri. Na zipo njia zilizo potoka zisio fika kwenye Haki. Na lau angeli taka kukuongoeni nyote angeli kuongoeni kwenye Njia Iliyo Nyooka, lakini amekuumbieni akili ya kutambua, na matakwa ya kuelekea, na akakuacheni na khiari yenu.