Skip to content
يُوسُف /

Aya 7

12 : 7

Aya 7 of يُوسُف (12 : 7). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 7

۞ لَّقَدۡ كَانَ فِي يُوسُفَ وَإِخۡوَتِهِۦٓ ءَايَٰتٞ لِّلسَّآئِلِينَ

Kwa yakini katika Yusuf na nduguze ziko ishara kwa wanao uliza.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika katika kisa cha Yusuf na nduguze zipo dalili na mazingatio kwa waulizao, wenye kutaka kujua.