Skip to content
يُوسُف /

Aya 57

12 : 57
يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 57

وَلَأَجۡرُ ٱلۡأٓخِرَةِ خَيۡرٞ لِّلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَكَانُواْ يَتَّقُونَ

Na hakika malipo ya Akhera ni bora zaidi, kwa walio amini na wakawa wachamungu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na malipo yao ya Akhera ni bora zaidi na yanalingana zaidi na hao wanao msadiki Yeye na Mitume wake, na ikawa wanaingojea Siku ya Hisabu na wanaikhofu.