Skip to content
يُوسُف /

Aya 34

12 : 34
يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 34

فَٱسۡتَجَابَ لَهُۥ رَبُّهُۥ فَصَرَفَ عَنۡهُ كَيۡدَهُنَّۚ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلسَّمِيعُ ٱلۡعَلِيمُ

Basi Mola wake Mlezi akamwitikia, na akamwondoshea vitimbi vyao. Hakika Yeye ni Msikizi Mjuzi.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu akamuitikia, na akamuepusha na shari ya vitimbi vyao. Hakika Yeye peke yake ndiye Mwenye kusikia maombi ya wenye kukimbilia kwake, na Mwenye kujua yanao wafaa.