Skip to content
هُود /

Aya 122

11 : 122
هُود Aya 123
Sura · هُود
Kiswahili · Barawani
11 : 122

وَٱنتَظِرُوٓاْ إِنَّا مُنتَظِرُونَ

Na ngojeni, na sisi tunangoja.

Explanation & meanings · 1
  1. Na yangojeni hayo mnayo yangojea, na sisi kadhaalika tunangojea ahadi ya Mwenyezi Mungu, kuwa wito wetu utashinda na tutawashinda maadui zake.