Skip to content
هُود /

Aya 121

11 : 121

Aya 121 of هُود (11 : 121). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

هُود Aya 123
Sura · هُود
Kiswahili · Barawani
11 : 121

وَقُل لِّلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ ٱعۡمَلُواْ عَلَىٰ مَكَانَتِكُمۡ إِنَّا عَٰمِلُونَ

Na waambie wale wasio amini: Fanyeni muwezavyo, nasi pia tunafanya.

Explanation & meanings · 1
  1. Ewe Nabii! Waambie hao wanao shikilia inadi na ukafiri: Tendeni kama mnavyo weza kuupiga vita Uislamu na kuwaudhi Waumini. Sisi tunaendelea na njia yetu, na tumethibiti katika a'mali yetu.