Skip to content

Ukiulizwa nini maana ya kutaka baraka?

السؤال

Swali/ Ukiulizwa nini maana ya kutaka baraka?

الجواب

Jawabu/ sema: ni kuomba baraka na heri kupitia sababu ambazo anazo zifanya mwanadamu kwa kutarajia kupata heri na makusudio yake na kupata yale anayo yapenda