Skip to content

Utakapo Ulizwa: hivi wasiokuwa mitume katika mawalii wamehifadhika na kufanya madhambi makubwa na madogo?

السؤال

Swali/ Utakapo Ulizwa: hivi wasiokuwa mitume katika mawalii wamehifadhika na kufanya madhambi makubwa na madogo?

الجواب

Jawabu/ Sema: atakae kuwa walii katika watu wasiokuwa mitume hakika watu hao hawaja takasika na kufanya madhambi makubwa au madogo, hakika wamewahi kuingia katika madhambi wengi katika mawalii wakubwa wa Mwenyezi Mungu wakakosea na kutenda dhambi lakini walifanya haraka kutubia dhambi zao na kuomba msamaha na wakasamehewa na Mwenyezi Mungu.