Skip to content

utakapo ulizwa: je, Uwalii ni maalumu kwa watu flani katika baadhi ya Waumini?

السؤال

Swali/ utakapo ulizwa: je, Uwalii ni maalumu kwa watu flani katika baadhi ya Waumini?

الجواب

Jawabu/ Sema: Kila Muislamu Muumini mchamungu basi mtu huyo kwa Allah ni walii, amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: {Jueni kuwa vipenzi vya Mwenyezi Mungu hawatakuwa na hofu wala hawatahuzunika (62) Hao ni ambao wameamini na wakawa wanamcha Mungu} (Yunus 62-63) Uwalii sio maalumu kwa baadhi ya waislam, ispokua daraja za uwalii unatofautiana na Maana ya uchamungu: Ni kufanya yale aliyo amrisha Mwenyezi Mungu na Mtume wake rehma na amani ziwe juu yake na kujiepusha na yale aliyo yakataza Mwenyezi Mungu na Mtume wake rehma na amani ziwe juu yake na kila muumini uwalii wake ni kwakulingana na kiasi cha uchamungu wake na utekelezaji wake wa ibada.