Skip to content

Utakapo ulizwa: Nanai Mola wako?

السؤال

Swali/ Utakapo ulizwa: Nanai Mola wako?

الجواب

Jawabu/ Sema: Mola wangu ni Mwenyezi Mungu Mwenye kumiliki, Muumbaji, mwenye kupangilia mambo, Anae vipa sura kila viumbe, Mlezi, Mwenye kuvifanyia wema viumbe vyake na kuwasimamia kwa kila jambo, halipatikani jambo lolote ila kwa amri yake na hakuna kinacho tembea ila kwa idhini yake na kutaka kwake.