Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu
- التصنيف الشرعي
- العقيدةالإسلامنواقض الإسلامالشرك
Kutoka kwa Buraida -radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu -rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake:
"Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu".
«مَنْ حَلَفَ بِالْأَمَانَةِ فَلَيْسَ مِنَّا».
Amekataza Mtume rehema na amani ziwe juu yake na akatahadharisha kuapia amana, nakuwa atakayefanya hivyo si miongoni mwetu.
Uharamu wa kuapa kumuapia asiyekuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, ikiwemo: Kuiapia amana, nakuwa hilo ni katika shirki ndogo.
Amana inakusanya utiifu na ibada, na kuwekeza, na pesa tasilimu, na amana.
Kiapo hakikubaliki ila kwa kuapa kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu au kwa jina miongoni mwa majina yake au kwa sifa katika sifa zake.
Amesema Al-Khattwabi: Hadithi inaonekana kuwa karaha hapa ni kwa sababu aliamrisha aape kwa Allah na kwa sifa zake, na amana si katika sifa zake, bali ni amri katika amri zake, na ni faradhi katika faradhi zake, wakakatazwa hilo kwakuwa ndani yake kuna kuifanya amana kuwa sawa na majina ya Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na kutukuka na sifa zake.
Sunanu Abii Daud (5/ 155) (3253).
Musnad wa Ahmad (38/ 82) (22980).
Sunanu Abii Daud (5/ 155) (3253).
Musnad wa Ahmad (38/ 82) (22980).
Zaidi (24)
نزهة المتقين.
لمجموعة من الباحثين (2/ 1166).
بهجة الناظرين.
لسليم الهلالي (3/ 201).
مشكاة المصابيح.
للتبريزي (2/ 1020).
شرح رياض الصالحين.
لابن عثيمين (6/ 452).
معالم السنن.
للخطابي (4/ 46).
سبل السلام.
الصنعاني (2/ 550 ).
نزهة المتقين.
لمجموعة من الباحثين (2/ 1166).
بهجة الناظرين.
لسليم الهلالي (3/ 201).
مشكاة المصابيح.
للتبريزي (2/ 1020).
شرح رياض الصالحين.
لابن عثيمين (6/ 452).
معالم السنن.
للخطابي (4/ 46).
سبل السلام.
الصنعاني (2/ 550 ).
Imenukuliwa katika vitabu
5 Vitabu- UCHAMBUZI NA UFAFANUZI WA MASUALA MENGI YA HIJA, UMRA NA ZIARA KWA MUJIBU WA MUONGOZO WA QUR'ANI NA SUNNAالتحقيق والإيضاح لكثير من مسائل الحج والعمرة والزيارة - النسخة المعتمدة"Atakayeapa kwa amana, basi huyo si miongoni mwetu." ([133])
- عقيدة الأئمة الأربعة«مَنْ حَلَفَ بِالْأَمَانَةِ فَلَيْسَ مِنَّا»