9 : 22
خَٰلِدِينَ فِيهَآ أَبَدًاۚ إِنَّ ٱللَّهَ عِندَهُۥٓ أَجۡرٌ عَظِيمٞ
Watadumu humo milele. Hakika kwa Mwenyezi Mungu yapo malipo makubwa.
Explanation & meanings · 1
- Na wao watadumu huko Peponi hawatoki. Na hakika kwa Mwenyezi Mungu yapo malipo makubwa, na thawabu nyingi.