88 : 7 لَّا يُسۡمِنُ وَلَا يُغۡنِي مِن جُوعٖ Hakinenepeshi wala hakiondoi njaa. 7Hide explanation (1)Explanation & meanings · 17Hakileti nafuu yoyote katika mwili, wala hakiondoi njaa.