Skip to content
الغَاشِية /

Aya 8

88 : 8

Aya 8 of الغَاشِية (88 : 8). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الغَاشِية Aya 26
Sura · الغَاشِية
Kiswahili · Barawani
88 : 8

وُجُوهٞ يَوۡمَئِذٖ نَّاعِمَةٞ

Siku hiyo nyuso nyengine zitakuwa kunjufu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na pia zitakuwapo nyuso zenye kutoa nuru Siku ya Kiyama, kwa malipo ya vitendo vyao walivyo fanya duniani.