Skip to content
الغَاشِية /

Aya 19

88 : 19

Aya 19 of الغَاشِية (88 : 19). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الغَاشِية Aya 26
Sura · الغَاشِية
Kiswahili · Barawani
88 : 19

وَإِلَى ٱلۡجِبَالِ كَيۡفَ نُصِبَتۡ

Na milima jinsi ilivyo thibitishwa?

Explanation & meanings · 1
  1. Na milima wanayo ikwea mpaka wakafika vileleni kwake, vipi ilivyo simamishwa kwa urefu, imeshikamana na ardhi, haiyumbi wala haitikisiki!