85 : 6 إِذۡ هُمۡ عَلَيۡهَا قُعُودٞ Walipo kuwa wamekaa hapo! 6Hide explanation (1)Explanation & meanings · 16Na wao wamekaa ukingoni mwake wakishuhudia mateso yanayo wapata Waumini.