Skip to content
Al-Buruj /

Aya 7

85 : 7

Aya 7 of Al-Buruj (85 : 7). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

Al-Buruj Aya 22
Sura · Al-Buruj
Kiswahili · Barawani
85 : 7

وَهُمۡ عَلَىٰ مَا يَفۡعَلُونَ بِٱلۡمُؤۡمِنِينَ شُهُودٞ

Na wao ni mashahidi wa yale waliyo kuwa wakiwafanyia Waumini.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wao wapo hapo wamehudhuria kwenye mateso wanayo watendea Waumini.