85 : 12
إِنَّ بَطۡشَ رَبِّكَ لَشَدِيدٌ
Hakika kutesa kwa Mola wako Mlezi ni kukali.
Explanation & meanings · 1
- Hakika mshiko wa Mola wako Mlezi kuwashika majabari umefika ukomo kwa ukali wake
إِنَّ بَطۡشَ رَبِّكَ لَشَدِيدٌ
Hakika kutesa kwa Mola wako Mlezi ni kukali.