Skip to content
الانشِقَاق /

Aya 21

84 : 21
الانشِقَاق Aya 25
Sura · الانشِقَاق
Kiswahili · Barawani
84 : 21

وَإِذَا قُرِئَ عَلَيۡهِمُ ٱلۡقُرۡءَانُ لَا يَسۡجُدُونَۤ۩

Na wanapo somewa Qur'ani hawasujudu?

Explanation & meanings · 1
  1. Na pindi wakizisikia Aya za Qur'ani hawasujudu wakanyenyekea?