84 : 16
فَلَآ أُقۡسِمُ بِٱلشَّفَقِ
Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa,
Explanation & meanings · 1
- Basi naapa kiapo cha mkazo kwa wekundu wa mbingu baada ya kuchwa jua!
Aya 16 of الانشِقَاق (84 : 16). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
فَلَآ أُقۡسِمُ بِٱلشَّفَقِ
Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa,