Skip to content
المُطَففين /

Aya 29

83 : 29

Aya 29 of المُطَففين (83 : 29). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المُطَففين Aya 36
Sura · المُطَففين
Kiswahili · Barawani
83 : 29

إِنَّ ٱلَّذِينَ أَجۡرَمُواْ كَانُواْ مِنَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ يَضۡحَكُونَ

Kwa hakika wale walio kuwa wakosefu walikuwa wakiwacheka walio amini.

Explanation & meanings · 1
  1. Wale walio kuwa wakibeba madhambi kuipingia Dini walikuwa wakiwacheka kuwakejeli Waumini duniani.