Skip to content
عَبَسَ /

Aya 23

80 : 23

Aya 23 of عَبَسَ (80 : 23). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

عَبَسَ Aya 42
Sura · عَبَسَ
Kiswahili · Barawani
80 : 23

كَلَّا لَمَّا يَقۡضِ مَآ أَمَرَهُۥ

La! Hajamaliza aliyo muamuru.

Explanation & meanings · 1
  1. Ni kweli mwanaadamu, juu ya kuwa umri wake mrefu duniani, hakutimiza aliyo amrishwa na Mwenyezi Mungu katika mambo ya Imani na ut'iifu.