80 : 15
بِأَيۡدِي سَفَرَةٖ
Zimo mikononi mwa Malaika waandishi,
Explanation & meanings · 1
- Katika mikono ya Malaika ambao Mwenyezi Mungu amewafanya ndio mabalozi baina yake na Mitume wake;
Aya 15 of عَبَسَ (80 : 15). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
بِأَيۡدِي سَفَرَةٖ
Zimo mikononi mwa Malaika waandishi,