Skip to content
الأنفَال /

Aya 55

8 : 55

Aya 55 of الأنفَال (8 : 55). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنفَال Aya 75
Sura · الأنفَال
Kiswahili · Barawani
8 : 55

إِنَّ شَرَّ ٱلدَّوَآبِّ عِندَ ٱللَّهِ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ فَهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ

Hakika vinyama vilio viovu kabisa mbele ya Mwenyezi Mungu ni wale wanao kufuru, basi hao hawaamini;

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika katika vyote vilio enea juu ya uso wa ardhi walio waovu mno mbele ya Mwenyezi Mungu katika hukumu yake na uadilifu wake, ni makafiri walio kakamia juu ya ukafiri wao,