Skip to content
الأنفَال /

Aya 56

8 : 56
الأنفَال Aya 75
Sura · الأنفَال
Kiswahili · Barawani
8 : 56

ٱلَّذِينَ عَٰهَدتَّ مِنۡهُمۡ ثُمَّ يَنقُضُونَ عَهۡدَهُمۡ فِي كُلِّ مَرَّةٖ وَهُمۡ لَا يَتَّقُونَ

Wale ambao miongoni mwao umepatana nao ahadi, kisha wanavunja ahadi yao kila mara, wala hawamchi Mungu.

Explanation & meanings · 1
  1. Nao ni wale ulio fungamana nao kwa mikataba, nao wakawa hawaachi kuivunja kila mara; na watu hao ni Mayahudi ambao hawachelei utukufu wa Mwenyezi Mungu, wala hawakhofu kupatilizwa naye, wala adhabu yake.