79 : 5 فَٱلۡمُدَبِّرَٰتِ أَمۡرٗا Wakidabiri mambo. 5Hide explanation (1)Explanation & meanings · 15Na vinavyo dabiri, kupanga, mambo na kuyaendesha kwa mujibu wa vilivyo khusishwa,