78 : 4
كَلَّا سَيَعۡلَمُونَ
La! Karibu watakuja jua.
Explanation & meanings · 1
- Kuwazuia kuulizana huko wanaambiwa kuwa watakuja ujua ukweli wa mambo hapo watapo ona kufufuliwa kumetokea khasa.
Aya 4 of النَّبَإ (78 : 4). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
كَلَّا سَيَعۡلَمُونَ
La! Karibu watakuja jua.