Skip to content
النَّبَإ /

Aya 17

78 : 17

Aya 17 of النَّبَإ (78 : 17). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّبَإ Aya 40
Sura · النَّبَإ
Kiswahili · Barawani
78 : 17

إِنَّ يَوۡمَ ٱلۡفَصۡلِ كَانَ مِيقَٰتٗا

Hakika siku ya uamuzi imewekewa wakati wake,

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika siku ya uamuzi baina ya viumbe imewekewa miadi ilio kwisha kadiriwa kwa ajili ya kufufuliwa.