Skip to content
المُرسَلات /

Aya 41

77 : 41

Aya 41 of المُرسَلات (77 : 41). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المُرسَلات Aya 50
Sura · المُرسَلات
Kiswahili · Barawani
77 : 41

إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي ظِلَٰلٖ وَعُيُونٖ

Hakika wachamngu watakuwa katika vivuli na chemchem,

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika wachamngu wenye kujikinga na adhabu ya Mwenyezi Mungu watakuwa katika kivuli kikubwa, na chemchem zinazo miminika,