77 : 40
وَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ
Ole wao siku hiyo hao walio kanusha!
Explanation & meanings · 1
- Wataangamia siku hiyo wanayo ikadhibisha ahadi ya Mwenyezi Mungu.
وَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ
Ole wao siku hiyo hao walio kanusha!