Skip to content
الإنسَان /

Aya 15

76 : 15

Aya 15 of الإنسَان (76 : 15). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الإنسَان Aya 31
Sura · الإنسَان
Kiswahili · Barawani
76 : 15

وَيُطَافُ عَلَيۡهِم بِـَٔانِيَةٖ مِّن فِضَّةٖ وَأَكۡوَابٖ كَانَتۡ قَوَارِيرَا۠

Na watapitishiwa vyombo vya fedha na vikombe vya vigae,

Explanation & meanings · 1
  1. Na wakiwazungukia watumishi wao kwa bilauri za kunywea zilio fanywa kwa fedha, lakini unaona kiliomo ndani kama kwamba ni kigae,