Skip to content
الإنسَان /

Aya 14

76 : 14
الإنسَان Aya 31
Sura · الإنسَان
Kiswahili · Barawani
76 : 14

وَدَانِيَةً عَلَيۡهِمۡ ظِلَٰلُهَا وَذُلِّلَتۡ قُطُوفُهَا تَذۡلِيلٗا

Na vivuli vyake vitakuwa karibu yao, na mashada ya matunda yataning'inia mpaka chini.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Pepo ambayo vivuli vya miti yake vimeenea kote kote, na matunda yake mepesi kuyachuma.