Skip to content
القِيَامة /

Aya 36

75 : 36

Aya 36 of القِيَامة (75 : 36). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

القِيَامة Aya 40
Sura · القِيَامة
Kiswahili · Barawani
75 : 36

أَيَحۡسَبُ ٱلۡإِنسَٰنُ أَن يُتۡرَكَ سُدًى

Ati anadhani binaadamu kuwa ataachwa bure?

Explanation & meanings · 1
  1. Hivyo anadhani huyu mtu anaye kanya kufufuliwa kuwa ataachwa hivi hivi akiringa tu katika maisha yake, na akisha kufa iwe basi, wala asifufuliwe akahisabiwa kwa vitendo vyake?