Skip to content
القِيَامة /

Aya 28

75 : 28

Aya 28 of القِيَامة (75 : 28). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

القِيَامة Aya 40
Sura · القِيَامة
Kiswahili · Barawani
75 : 28

وَظَنَّ أَنَّهُ ٱلۡفِرَاقُ

Na mwenyewe akajua kwa hakika kuwa huko ndiko kufariki;

Explanation & meanings · 1
  1. Akayakinisha yule yaliyo mfika mauti kama lililo mshukia ni kuiacha dunia inayo pendwa, na imekwisha mfika shida yake kikomo cha mwisho.