Skip to content
المُزمل /

Aya 8

73 : 8
المُزمل Aya 20
Sura · المُزمل
Kiswahili · Barawani
73 : 8

وَٱذۡكُرِ ٱسۡمَ رَبِّكَ وَتَبَتَّلۡ إِلَيۡهِ تَبۡتِيلٗا

Na lidhukuru jina la Mola wako Mlezi, na ujitolee kwake kwa ukamilifu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na pitisha ulimini mwako kudhukuru jina la Mola aliye kuumba na kukulea, na mkhusishe Yeye tu kwa ibada kwa ukamilifu.