Skip to content
المُزمل /

Aya 10

73 : 10

Aya 10 of المُزمل (73 : 10). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المُزمل Aya 20
Sura · المُزمل
Kiswahili · Barawani
73 : 10

وَٱصۡبِرۡ عَلَىٰ مَا يَقُولُونَ وَٱهۡجُرۡهُمۡ هَجۡرٗا جَمِيلٗا

Na vumilia hayo wayasemayo, na jitenge nao kwa vizuri.

Explanation & meanings · 1
  1. Na vumilia upuuzi wanao usema, na jitenge nao kwa moyo wako, na nenda kinyume na vitendo vyao, pamoja na kuwapuuza, na kuacha kujilipizia.