Skip to content
الجِن /

Aya 15

72 : 15

Aya 15 of الجِن (72 : 15). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الجِن Aya 28
Sura · الجِن
Kiswahili · Barawani
72 : 15

وَأَمَّا ٱلۡقَٰسِطُونَ فَكَانُواْ لِجَهَنَّمَ حَطَبٗا

Na ama wanao acha haki, hao watakuwa kuni za Jahannamu.

Explanation & meanings · 1
  1. Ama majeuri walio iacha njia ya Uislamu basi hao watakuwa ndio kuni za Jahannamu.