Skip to content
الجِن /

Aya 16

72 : 16
الجِن Aya 28
Sura · الجِن
Kiswahili · Barawani
72 : 16

وَأَلَّوِ ٱسۡتَقَٰمُواْ عَلَى ٱلطَّرِيقَةِ لَأَسۡقَيۡنَٰهُم مَّآءً غَدَقٗا

Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanywesha maji kwa wingi,

Explanation & meanings · 1
  1. Na hakika lau kuwa watu na majini wakifuata Njia ya Uislamu, wala wasende upogo wakaiwacha, basi bila ya shaka tutawanywesha maji mengi yatakayo enea nyakati za haja.