Skip to content
المَعَارج /

Aya 25

70 : 25
المَعَارج Aya 44
Sura · المَعَارج
Kiswahili · Barawani
70 : 25

لِّلسَّآئِلِ وَٱلۡمَحۡرُومِ

Kwa mwenye kuomba na anaye jizuilia kuomba;

Explanation & meanings · 1
  1. iliyo wekwa kwa ajili ya masikini mwenye kuomba kutaka msaada, na anaye jizuilia kuomba pia. (Katika wanao zuilika kuomba wanaingia si wenye kustahi na kuona vibaya tu, bali pia wasio weza kuomba kama watoto wachanga, wagonjwa, na wanyama pia.)