7 : 76
قَالَ ٱلَّذِينَ ٱسۡتَكۡبَرُوٓاْ إِنَّا بِٱلَّذِيٓ ءَامَنتُم بِهِۦ كَٰفِرُونَ
Wakasema wale wanao jivuna: Sisi tunayakataa hayo mnayo yaamini.
Explanation & meanings · 1
- Wakasema wenye kiburi: Sisi tunapinga na tunayakataa hayo mnayo yaamini nyinyi, na hayo anayo itia Swaleh ya kuwa Mungu ni mmoja.