Skip to content
الأعرَاف /

Aya 25

7 : 25

Aya 25 of الأعرَاف (7 : 25). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأعرَاف Aya 206
Sura · الأعرَاف
Kiswahili · Barawani
7 : 25

قَالَ فِيهَا تَحۡيَوۡنَ وَفِيهَا تَمُوتُونَ وَمِنۡهَا تُخۡرَجُونَ

Akasema: Humo mtaishi, na humo mtakufa, na kutoka humo mtatolewa

Explanation & meanings · 1
  1. Katika ardhi mnazaliwa, na mnaishi, na humo mnakufa na kuzikwa. Na kutoka huko mtatolewa wakati wa kufufuliwa.