69 : 51
وَإِنَّهُۥ لَحَقُّ ٱلۡيَقِينِ
Na hakika hii bila ya shaka ni haki ya yakini.
Explanation & meanings · 1
- Na hakika Qur'ani bila ya shaka ni Haki iliyo thibiti, isiyo na shaka yoyote.
Aya 51 of الحَاقة (69 : 51). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَإِنَّهُۥ لَحَقُّ ٱلۡيَقِينِ
Na hakika hii bila ya shaka ni haki ya yakini.