Skip to content
الحَاقة /

Aya 49

69 : 49
الحَاقة Aya 52
Sura · الحَاقة
Kiswahili · Barawani
69 : 49

وَإِنَّا لَنَعۡلَمُ أَنَّ مِنكُم مُّكَذِّبِينَ

Na hakika Sisi bila ya shaka tunajua kwamba miongoni mwenu wapo wanao kadhibisha.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hakika Sisi bila ya shaka tunajua kwamba kati yenu wapo wanao ikanusha Qur'ani.