Skip to content
الحَاقة /

Aya 30

69 : 30
الحَاقة Aya 52
Sura · الحَاقة
Kiswahili · Barawani
69 : 30

خُذُوهُ فَغُلُّوهُ

(Pasemwe): Mshikeni! Mtieni pingu!

Explanation & meanings · 1
  1. Wataambiwa walinzi wa Jahannamu: Mshikeni, na mfungeni mikono yake kwenye shingo yake.