Skip to content
القَلَم /

Aya 35

68 : 35

Aya 35 of القَلَم (68 : 35). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

القَلَم Aya 52
Sura · القَلَم
Kiswahili · Barawani
68 : 35

أَفَنَجۡعَلُ ٱلۡمُسۡلِمِينَ كَٱلۡمُجۡرِمِينَ

Kwani tutawafanya Waislamu kama wakosefu?

Explanation & meanings · 1
  1. Je! Sisi tudhulumu katika hukumu yetu, tuwafanye Waislamu sawa na makafiri?