Skip to content
القَلَم /

Aya 31

68 : 31
القَلَم Aya 52
Sura · القَلَم
Kiswahili · Barawani
68 : 31

قَالُواْ يَٰوَيۡلَنَآ إِنَّا كُنَّا طَٰغِينَ

Wakasema: Ole wetu! Tulikuwa tumeikiuka mipaka!

Explanation & meanings · 1
  1. Wakisema: Huku ni kuhiliki kwetu! Hakika sisi tulikuwa tumepita mipaka katika dhulma zetu.