Skip to content
الأنعَام /

Aya 29

6 : 29

Aya 29 of الأنعَام (6 : 29). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنعَام Aya 165
Sura · الأنعَام
Kiswahili · Barawani
6 : 29

وَقَالُوٓاْ إِنۡ هِيَ إِلَّا حَيَاتُنَا ٱلدُّنۡيَا وَمَا نَحۡنُ بِمَبۡعُوثِينَ

Na walisema: Hakuna mengine ila maisha yetu haya ya duniani, wala sisi hatutafufuliwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na lau wakirejeshwa duniani watairudia ile ile sera yao ya mwanzo, na watasema: Hatuna sisi uhai mwingine ila huu huu uhai wa kidunia. Wala sisi hatutafufuliwa baadae.