Skip to content
الأنعَام /

Aya 30

6 : 30

Aya 30 of الأنعَام (6 : 30). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنعَام Aya 165
Sura · الأنعَام
Kiswahili · Barawani
6 : 30

وَلَوۡ تَرَىٰٓ إِذۡ وُقِفُواْ عَلَىٰ رَبِّهِمۡۚ قَالَ أَلَيۡسَ هَٰذَا بِٱلۡحَقِّۚ قَالُواْ بَلَىٰ وَرَبِّنَاۚ قَالَ فَذُوقُواْ ٱلۡعَذَابَ بِمَا كُنتُمۡ تَكۡفُرُونَ

Na lau ungeli ona watavyo simamishwa mbele ya Mola wao Mlezi, akawaambia: Je, si kweli haya? Na wao watasema: Kwani? Tunaapa kwa Mola Mlezi wetu ni kweli. Yeye atasema: Basi onjeni adhabu kwa sababu ya vile mlivyo kuwa mnakataa.

Explanation & meanings · 1
  1. Lau ungeli waona watavyo simama mbele ya Mola wao Mlezi kwa ajili ya kuhisabiwa, na wao wanaujua ukweli wa aliyo wateremshia Mwenyezi Mungu Mitume wake, ungeli ona uovu wa hali yao pale Mwenyezi Mungu atapo waambia: Je, haya mnayo yashuhudia sasa sio kweli mliyo kuwa mkiikataa huko duniani kwenu? Nao watajibu hali ni wanyonge: Kwani! Tunaapa kwa Mola Mlezi wetu, ni kweli! Tena baada ya hayo Mwenyezi Mungu atawaambia: Ingieni Motoni kwa sababu ya mlivyo kuwa mmeshikilia ukafiri.