Skip to content
الوَاقِعة /

Aya 24

56 : 24

Aya 24 of الوَاقِعة (56 : 24). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الوَاقِعة Aya 96
Sura · الوَاقِعة
Kiswahili · Barawani
56 : 24

جَزَآءَۢ بِمَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ

Ni malipo kwa waliyo kuwa wakiyatenda.

Explanation & meanings · 1
  1. Watapewa haya kuwa ni malipo kwa mambo mema waliyo kuwa wakiyatenda duniani.